NI VIZURI WANAWAKE MKAFAHAMU HILI, NI NGUMU SANA MWANAUME AMUACHE MKE WAKE WA NDOA ILI AKUOE WEWE.Wasichana na wanawake nataka mfahamu hili. Ni ngumu sana mwanaume amuache first wife (mke wake wa ndoa) ili akuoe wewe. Ni ngumu sana huwa tunawadanganya tu hivyo kwa kuwa hampendi kuambiwa UKWELI ili tuendelee kuwatumikisha kingono (sex). Katika wanaume 1000 ni 1 pekee huchukua maamuzi haya magumu na tafiti zimeonesha wanaume walioacha wake zao wa ndoa wakaenda kuoa mchepuko, h…
Read moreHata kama una uzuri kiasi gani ila tambua kwamba huwezi kupendwa na kila mtu.
Nikuambie tu ukweli:kuna wengine wana tamaa tu juu yako na usipokuwa makini utadhani wanakupenda. Mwisho wa siku unajikuta unaachana na yule mwenye upendo wa dhati na kwenda kwa yule aliyekutamani. Ukija kushtuka unakuta tayari muda umeenda na yule aliyekupenda tayari ana maisha yake mengine. Kuwa makini na watu wanaohitaji mapenzi nawe. Kuwa na jicho la tofauti na utumie akili kumjua yule aliye sahihi …
Mwanaume anapenda aheshimiwe na mwanamke anapenda apendwe kwa dhati ukizingatia hayo mtaishi kwa Amani Mtu anayekupenda huwa hajali Mali ulizo nazo ila Amani furaha na upendo ni vitu vya thamani Sana
Read moreHabari zenu marafiki zangu wa jarida la Urafikihadindoa. Nikushukuru kwa kuchukua nafasi yako ili uweze kuisoma kwa uzuri makala hii ambayo najua vijana wengi walikuwa na shauku ya kutaka kuifahamu.Bila kupoteza muda twende kwenye somo letu la leo; tuanze na maana ya kutongoza tunaweza sema ni kumshawishi mtu hasa jinsia nyingine ambaye hana uhusiano wowote wa kifamilia ili aweze kuwa mpenzi wako au aweze kuwa mwandani wako wa maisha.Wengine wanasema kutongoza ni namna ya …
Read moreMambo 6 hatare MWANAUME Hutakiwi kufanya kitandani ukiwa na mpenzi/Mke wakO, namba 5 itapasua ubongo wako 1.kujenga hofu na kutokujiamini kunamfanya mpenzi wako asiamin kuwa ww ni rijali unayeweza kumridhisha kimapenzi. Hili ni tatizo kwa wanaume wengi. 2.Kuweka umbali kati yako na mpenzi wako kitandani na kukwepesha macho yasitazamane, na wengine huzima mpaka taa chumbani. Miili yenu yapaswa isogeleane zaidi hii huongeza hamasa na mvuto ktk mapenzi. 3.kutoKufahamu maumbile ya…
Read more
Social Plugin