Alhamdulilah kwanza namshukuru sana mwenyezimungu muumba mbingu na vilivyomo pili namshukuru Admin wa group hili Tatu nawashukuru members wote kwa ishirikiano mkubwa mulionionyesha japo sio wote wenyekujua umuhim wa jambo hili. Najua ni wengi wenye maitaji kama ya kwangu na ni wengi wanaotamani kuwa na familia zao kama mm ninavyotamani. Leo namtabulisha ktk group huyu ndie chaguo langu anaitwa Aisha....ikiwa ni trh 08/05/2021 naimani hata SIMBA ATANIPA FURAHA LEO. But no bad is…
Read more
Social Plugin