BINTI NA MAMA YAKE Binti : Hivi mama, kwanini uliamua kuolewa na baba? Mama : Upendo wake ulinivutia sana. Binti : Upendo tu, hamna kingine kilichokuvutia? Mama : Hahaha mwanangu, unajua Upendo hufanya uone kila kitu tofauti na wengine waonavyo. Binti : Kwani wanaume wengine hawakuwahi kukupenda? Mama : mmmh walikuwepo na walinipenda tena inawezekana walinipenda kuliko hata alivyonipenda baba yako. Ila Upendo wao haukuongea lugha ninayoielewa. Binti : Upendo na lugha tena Mbona …
Read more
Social Plugin