✍️Alhamdulilah kwanza namshukuru sana mwenyezimungu muumba mbingu na vilivyomo
✍️pili namshukuru Admin wa group hili
✍️Tatu nawashukuru members wote kwa ishirikiano mkubwa mulionionyesha japo sio wote wenyekujua umuhim wa jambo hili.
✍️Najua ni wengi wenye maitaji kama ya kwangu na ni wengi wanaotamani kuwa na familia zao kama mm ninavyotamani.
✍️Leo namtabulisha ktk group huyu ndie chaguo langu anaitwa Aisha....🙏🙏🙏ikiwa ni trh 08/05/2021 naimani hata SIMBA ATANIPA FURAHA LEO.
✍️But no bad is perfect 👌
✍️Don’t discuss the book by appearance
✍️I am not a saint unless you think 🤔 of a saint as a sinner who keeps on trying
✍️Courageous people do not fear forgiving for the sake of peace.
✍️Mtu mwenye akili hutatua matatizo na Mtu mwenye Busara huzuia Matatizo.
Nawapenda sana mungu awabalki sana🙏🙏