Mambo 6 hatare MWANAUME Hutakiwi kufanya kitandani ukiwa na mpenzi/Mke wakO, namba 5 itapasua ubongo wako
Mambo 6 hatare MWANAUME Hutakiwi kufanya kitandani ukiwa na mpenzi/Mke wakO, namba 5 itapasua ubongo wako
1.kujenga hofu na kutokujiamini kunamfanya mpenzi wako asiamin kuwa ww ni rijali unayeweza kumridhisha kimapenzi. Hili ni tatizo kwa wanaume wengi.
2.Kuweka umbali kati yako na mpenzi wako kitandani na kukwepesha macho yasitazamane, na wengine huzima mpaka taa chumbani. Miili yenu yapaswa isogeleane zaidi hii huongeza hamasa na mvuto ktk mapenzi.
3.kutoKufahamu maumbile yako na ya mpenzi wako vizuri. Sehemu zipi zikipata mguso huongeza hamasa zaidi mfn.matiti, matako,nywele, midomo shingo,sikio,kisimi n.k
4.haraka na pupa kutokumpa mpenzi wako muda wa kutosha wa kumuandaa(foreplay/romance) utafiti unaonyesha mwanawake mara nyingi huchelewa kufika kileleni hivyo anahitaji maandalizi ya kutosha kabra ya kumuingia.
5.Usimuingie mwanamke kama uume wako hauna nguvu(powerless)za kutosha, na pumzi . Pia km hauna uwezo wa kurudia tendo au kuunganisha. Utafiti unaonyesha Hili ni tatizo kwa wanaume wengi kutokana na mtindo mbovu wa maisha na kisaikolojia km vile kupiga punyeto,kutokufanya mazoezi.kisukari,presha,kitambi, uvutaji sigara na unywaji pombe kupindukia n.k.
6.Msongo wa mawazo(stress/depression) au uchovu wa kazi. Hakikisha unaondoa stress uwapo ktk tendo na pia una nguvu na pumzi.
Naamini umelipenda somo na utafurahia zaidi mahusiano yako. Usisahau kushea na uwapendao
Post a Comment
0
Comments
About Us
Aliquam sapien nulla, venenatis id finibus at, eleifend a turpis. Aliquam ac nibh id lorem ornare accumsan maximus at mauris.
0 Comments