Ndoa ya Zaiylissa imevunjika kwa sasa Zaiylissa yupo katika harakati za kupewa taraka zote tatu, juzi tu Zaiylissa alieleza kuwa hii ndiyo ndoa yake ya mwisho anaamini itadumu milele kwani amesha funga ndoa mala nne na zote zilivunjika
Tags:
Michapo
