Inawezekana Haji manara amejiandaa kwa lolote dhidi ya tuhuma za viongozi wa club ya Young Africans Sports Club kwa kauli zake?

 

"Inawezekana Haji manara amejiandaa kwa lolote dhidi ya tuhuma za viongozi wa club ya Young Africans Sports Club kwa kauli zake?
""Pata picha Yanga kashinda dabi mfululizo sikuwa najua kuwa kumbe tulitumia buster kupata matokeo,
Sikuwa najua kuwa kwenye Ngao ya Jamii sindano zilitumika.
Na tukiamini kwamba tulishinda kimazabe basi na wao walijiboost pale Uhuru stadium ,
Anyway Mimi Haji Sunday Ramadhani Manara sifuti kauli yangu na sibadili msimamo wangu.
Yanga imefungwa kihalali kabisa kwa asilimia elfu moja na tuhuma za Simba kujibust ni Uchale kama Uchale mwingine usio na hoja zaidi ya vioja!!
Nb:kama vp Semeni Su....
Nb2; Kesho ikiisha press nistueni Wanahabari nimwage mboga

Nb3: Najitegemea kichwani na mfukoni na sitegemei mob support,ONE MAN ARMY

Post a Comment

Previous Post Next Post