HAJI MANARA ATOA SIFA KUBWA KWA BAO LA MPANZU!

 


HAJI MANARA ATOA SIFA KUBWA KWA BAO LA MPANZU!

⚽👏
🗣️ “Bao la Mpanzu ni moja ya mabao bora duniani, kati ya mabao bora niliyoyaona ndani ya miaka hii mitano
Na mimi napenda magoli ya namna ile.
Ule ufundi aliotumia ni wa hali ya juu. Kampita Mwamnyeto na Baka, halafu akaenda kumchambua Diarra.
Na kumbuka, Diarra ni mmoja wa makipa bora Afrika, lakini Mpanzu kamkalisha! 🔥
Lile ni moja ya mabao bora sana!”
Amesema Manara leo kijiweni alipoulizwa bao bora..

Post a Comment

Previous Post Next Post