Kajala akizungumza kuhusu mahusiano yake na Harmonize kwanza kabisa Harmonize ni mtu anae jali sana lakini shida yake ana wivu sana, huwa hataki mabodi gadi wake wanifungulie mlango wa gari
Harmonize hataki nishike pochi, pochi yangu huwa ana ibeba yeye, naapa kwa Mungu nikiwa na Harmonize sijawahi kufungua mlango wa gari huwa ana nifungulia mweneywe
Kuna siku kijana aitwae Martin alikuwa akinishika mgongoni huku akiwa ana nifanyia masaji na kuninyoosha nyoosha mana mgongo wangu ulikuwa una maumivu, Harmonize alipo ona alimbadilikia Martin waligombana Sana hadi Martin hakuamini
Harmonize hata akiona mwanamke ana nisifia sana anahoji wewe vipo mbona unamsfia sana mpenzi wangu lengo lako nini?
Tags:
MASTAA