DAR: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Oktoba 11, 2026, Askofu wa Jimbo Katoliki la Singida Mhashamu Edward Mapunda alizuiliwa kumuona Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Antipas Lissu.
Aidha, Taarifa hiyo ya CHADEMA imesema kuwa Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti Lissu imekamilika kusikilizwa na kinachosubiriwa ni hukumu Novemba 6,2026.
Tags:
SIASA
