Habari zanu najitokeza kwenye group letu pendwa naitaji mchumba mimi nipo Dar esalaam Naitaji mchumba kweli wala sina utani kabisa niko serious umri wangu 32 na naitaji mwanamke umri kuanzia 25- tafadhali sana nimepoati naitaji mchimba naww ukija uwe serious sitaki matusi.Naitaji mchumba kweli niko serious Karbu inbox ndo tutapeana no za cm.nasisitiza uwe serious namm pia sina masiala kwa ili tafadhali

0 Comments