TAARIFA KWA WANAWAKE
Baada ya Kikao Cha wanaume Kamati kuu imeazimia haya yafuatayo:
** msichana Ukiona wanaokutongoza wote wamenyoa viduku👶,
***wana mabrichi kichwani,
***wavaa milegezo na suruali zilizotoboka magotini....
Dada angu ujue tu Safari yako ya kuolewa bado ni ndefu!!! Wanaume wanaokutongoza wanatafsiri muonekano wako...
Ndio mana hutongozwi na husband material!! Unafuatwa na wakufanana nawe!!
Kuna umri ukifika mwanamke anza kufanya mabadiliko ya kimuonekano na maneno unayoyaongea...
Sasa mda wote umevaa vimini mapaja wazi, mdomo wako umejaa uswahili na umbea!!! Unachokijua wewe ni chipsi,soseji,Baga na vitu vyenye uzungu ndani yake Afu upo afrika unataka husband material,,
Ndugu yangu!! Wee utakutana na chapa ilale... na tutakupiga make time mpaka uombe POOH..!
Hakuna atakayekubali kuwa na mke ambaye watoto wataiga utumbo kwake!!mwanamke hajui hata Kama Kuna kitu kinaitwa MATANDU
kuutwa ni Gesi na Umeme tu..
Madebe nasema sio kwa Afrika Hii
Wanaume wa Tanzania kwenye secta ya kuoa tuko makini kuliko mwanamke unavyoweza kutufikiria!!!
Tunataka mwanamke mlezi wa watoto wake, mpishi mzuri,yuko bize na kutoa miongozo ya maisha tukiwa chumbani,sio miongozo ya namna ya kufanya Tendo wakati Utandawazi umeleta vyanzo vingi vya NGONO mfano
DANGULO
WAHAYA
VIMBENJU
VISHTOBE
VISWASWADU
VICHECHE N.K
Utamlaumu MUNGU wee... Utaongea maneno ya kijasiri eti MUNGU ndiye anayepanga,, kumbe mchawi wa ndoto zako Ni wewe mwenyewe!!! Hata vitabu vya DINI vinasema watu wangu wanaangamina kwa kukosa maarifa!!!
Mwenye sikio na asikie... Maneno Yetu sio sheria...
Ushauri si amri...
Tunaomba kuwasilisha kwenu: Ahsante na hatubadilishi maamuzi Ng'o🤔
By @nabiimswahili