Natafuta mchumba mwenye vigezo hivi: kwanza awe mwislam au awetayar kubadiri dini, awe na khof ya Allah, heshima na upendo, awe na umri 20 - 29, awe mwembamba, asiwe na mtoto zaidi ya 1, awe mchakalikaji ila ktkt njia zakumpendeza mungu. Napatikana Dodoma, alie tayar anichek in box au messenger au WhatsApp kwa namba: 0624204571 au 0659210833. Pia niruhsa kinipigia cm ya kawaida. Namtanguliza mingu kwa kila jambo. Ntashkur sana.

May be an image of 1 person, standing and indoor