Nahitaji mchumba
Awe na miaka 20 hadi 23
Awe mcha mungu na mwenye kujipenda msafi
Mkalimu, mkweli
Awe hata hajasoma sibagui kabila
Awe mweupe ama maji ya kunde
Awe mke wife material yaani mke wa kujenga familia
Aliye tayari anicheki inbox Niko serious kwa jambo hilii mwakani naoa