Naitwa *Dismas* ni mkazi wa mwanza ila kwa Sasa hivi niko nje ya mwanza kiufupi nahitaji mpenzi wa kuwa naye na awe na sifa hizi, Mweupe ila sio ulio pitiliza,awe na Elimu kuanzia kidato Cha nne kuendelea, awe na umri kati ya miaka (19-23), Umbo size ya kati pia urefu wa wastani,kuhusu dini haijalishi lakini awe na hofu ya mungu pili awe anajitambua sana. Nadhani kadri siku zinavyozidi kwenda tutafahamiana zaidi,kitabia,Kifika na kimwenendo baada ya hapo natumaini mwenyezi mungu akitujali tunaweza kufunga ndoa tukaisha mke na mume mwisho nasi tukajenga familia yetu. Kama upo nitafute kupitia namba hizi: 0747-658974

NB: Nahitaji mahusiano henye amani,furaha pamoja na utulivu japokuwa nafahamu mwanaume ndie anaweza kumfanya mwenzi wake akakosa msimamo lakini nahaidi kuhusu hilo nitakuwa makini sana kulinda mahusiano yangu.
May be an image of 1 person and sitting